Lugha muhimu sana ya dunia
ni lugha ya tabasamu
Wakati vipepeo walivyoumbwa na kufanywa kwamba mwishoni wakae kila mara, hapo walikuwa hawana maumbile. Pia walikuwa hawana mabawa, hisia kwa dada na kaka zao ambao walipiga firimbi kupitia upepo kama maua mazuri.
Alibaki kutokuwa na uhakika.
Mwanzoni hakujua na kujiachia kubebwa kwenye upepo kama wengine. Na alikaa kwenye maua, wakati huo alijihisi, anafanyakuwa vizuri. Mwishaoni siku moja, alijihisi: hakuna mtu anamnukuru, mara nyingine alikutana na mwingine kama yeye mwenyewe na akiwa kila mara akijichunga na kuketi kwenye maua, ambayo yalikuwa pekee. Halafu yeye hakuweza kujua hayo kwamba wengine hawamwoni yeye.
Na hapo alipata wazo kwamba yeye hana uhakika. Kwa kweli yeye angeweza kufahamu yote awali, hapo kweli yeye angeshindwa pia kujiangalia. Hayo yote haya kumsumbua kabisa. Alifikiri kwamba inatosha. Nikiwa na uzuri wangu kwa wengine ni uhakika. Sio lazima niyaone yote.
Lakini la muhimu ni kwamba yeye alikuwa kwa mtu yeyote anauhakika. Ni huzuni sana kwake. Na aliruka moja kwa moja kwa muumba (mungu) na kulalamika kwamba maisha ni machungu.
Yule aliyemwona kipepeo alikuwa na uhakika kwa muda mrefu, alifikiri na mwishoni alisema: „Ninakuelewa, lakini kazi imekwishafanywa. La muhimu ni hakuna na pia hakuna chochote tena pale ambacho ningeweza kukupa. Kati ya yote, kama ungekuwa na mwili, mabawa ,hisia na mengineyo, hapo ungeomba pia kufa kama viumbe vyote. Je, unataka hayo ?“.
„Ndiyo“, alisema kipepeo asiyekuwa na uhakika, „kama ningeliweza kuwa na maisha marefu na yenye furaha ?, hapo mimi pia mwishoni ningelitaka kufa.“
Lakini muumba (mungu) alifikiri sana, tena na kumsikiliza kwa makini mara ya kwanza. Alifikiri kwa muda mrefu sana na kusema mwishoni: „Ninataka kusikia kwamba wewe unatakiwa uwe na uhakika. Lakini hautakiwi kufa. Ndiyo maana mimi sikupi pia umbe pekee.
Nenda kuwa binadamu na utabasamu!“
Dieter J Baumgart
transl.: Jacinta Wanjiku Karanja Becker, Kenia